Harmonize X Milly Nanace – Never Give Up Remix [ Mp3 Download ]. Harmonize Ft Milly Nanace – Never Give Up Remix [ Mp3 Download ].

Click To Download

Lyrics

Aii ooh no Lord have mercy  Oooh aiyeeh eeh Let me tell you my story Nimezaliwa Mbeya Tanzania Huko Mbeta Mabatini Hapa mjini nimezamia

Ah ndoto zilikuwa kuwa Missy Mara ghafla kwa muziki zikahamia My mummy am sorry Kwa swala sana hukupenda uliposikia K

utani si nikaanza kuimba Mungu si Athumani nikakutana na Kakinga Akanipiga company japo kuna walo pinga Kwamba sina kipaji Fitina za ndani ndani mara ‘Milly’ anavimba Atapendwa na nani? Mnyamwezi wa Ikunga Nikajipa imani ipo siku nitashinda Maana Mola ndo mpaji

Eeeh Now I make my paper(my paper) And I bless my family Pole walonicheka(nicheka) Enzi navaanga kanda mbili Never, Never, Never Never, Never, Never(Give up!) Never, Never, Never

Usikate tamaa maana Mungu anakuona Never, Never, Never Never, Never, Never(Give up!) Never, Never, Never

Please don’t care who you are Where you from or what you do And never give up(And never give up never) And never give up(And never give up never)

Please don’t care who you are Where you from or what you do And never give up(And never give up never) And never give up(And never give up never)

I remember Mama told me Binadamu hawana wema Watakuchekeaga usoni Ukiwapa kisogo wanakusema Usihifadhi chuki moyoni Yalipe mabaya kwa mema Jifanye hukumbuki huyaoni Ndo maandiko yanavyosema

Nilimtanguliza Mungu kwa Swala Mara ghafla kaja mzungu Sarah Thank you my beiby You love me, you support me I love you too Shout out to my nigga Jose wa Mipango Jabulanti, Choppa, I got love for you Mnyama Mkali, Budda na Mchachambo Waambie tunapita so mikono juu Najua maisha safari, mimi bado sijafikaga Long way to go Ila naiona afadhali, kulala uhakika Na kula sio ka before Debe kwa Azizi Ali, Mbaghala, Tandika Kimara na Kariakoo Ghetto na kibatari, kiangazi masika Jua, mvua vyote vyako Now I make my paper(my paper) And I bless my family Pole walonicheka(walonicheka) Enzi navaanga kanda mbili Never, Never, Never Never, Never, Never(Give up!) Never, Never, Never

Usikate tamaa maana Mungu anakuona Never, Never, Never Never, Never, Never(Give up!) Never, Never, Never Usikate tamaa maana Mungu anakuona