Lava Lava Ft Salha – Hatuachani [Video Download]

0

Lava Lava Ft Salha – Hatuachani [Official Video Download].

Download Hatuachani by Lava Lava Ft Salha [Official Video].

Click To Download

Lyrics

Oooh aaah..

Aaah…

Achana na hao manyambafu Wasikupande kichwani Midomo yao michafu  Isikunyime amani We ni pende kama sarafu Unifiche kwapani Na unigande siafu

Hata tukiwa njiani Hawapendi kuona  Penzi linafika mbali Udi wanachoma  Usiku huwa na hawalali Wanakesha kwa sangoma Penzi walitie misumari Wasikupee homa  Mambo yatakuwa ng’aring’ari Eeeh Naomba zifikisheni habari  Kwa rika ndomombo Kurukushani za Mondi na Zari Zimenipa somo Hatuachani, hatuachani, Hatuachani, m

naye darling Hatuachani, darling cheza rhumba Hatuachani, mimi naye darling Hatuachani, darling sakata rhumba Hatuachani, mimi naye darling Hatuachani, darling cheza rhumba Hatuachani, mimi naye darling Hatuachani, darling sakata rhumba

Wala usijaribu  Kuwapa nafasi wafukunyuku Watakutia aibu  Zao kubwabwaja kama kasuku Kujifanya wataratibu  Hawana lolote mazumbukuku Wana maswahibu, waongo  Hata mwezi mtukufu Tusile tembele

Kisamvu kwa nyama Wataona gere  Na kutusakama Vibwabwa jengere  Na vikuku vya ngama Watapiga ndele Vipate kutukwama Wao wapae na umbo  Sisi hatujali  Yatawakereketa wavimbe matumbo

Hatuna habari eeh Wao wapae na umbo  Sisi hatujali  Yatawakereketa wavimbe matumbo  Hatuna habari eeh Eeeh Naomba zifikisheni habari  Kwa rika ndomombo Kurukushani za Mondi na Zari Zimenipa somo Hatuachani, hatuachani, Hatuachani, mimi naye darling

Hatuachani, darling cheza rhumba Hatuachani, mimi naye darling Hatuachani, darling sakata rhumba Hatuachani, mimi naye darling

Hatuachani, darling cheza rhumba Hatuachani, mimi naye darling Hatuachani, darling sakata rhumba Aga,  Rhumba mama

rhumba Tulicheze rhumba Rhumba mama rhumba Tulicheze rhumba Rhumba mama rhumba Tulisakate rhumba Rhumba mama rhumba Tulicheze rhumba Aga,

Tulicheze(rhumba)   Tulisakate(rhumba) Tulicheze(rhumba)  Tulisakate(rhumba)

Apo….

Apo..